mbona nikufanyie utafsiri?

Jina langu ni Fredrick Okoth. Mimi ni mwananchi na pia ni mwenyeji wa Kenya. Nilipata hamu ya kujifunza lugha nyingi tangu mnamo 2012. Kwa kujipatia motisha, kufanya mazoezi kila mara na kupenda ninachokifanya nimejiwezesha kusikiza, kuzungumza, kusoma na kuandika kwa hali ya juu lugha za Kiingereza, Kiswahili, Kihispania na Kijaluo. Ninajitahidi bado ili niweze kujifunza lugha zingine pia.
Ningependa kukusaidia kutafsiri yoyote kati ya lugha ambazo nimetaja hapo awali. Tafadhali nipigie kwa nambari hizi +254713082353 / +254763182353 au unitumie barua pepe kwenye anwani fredrickcollections.company@gmail.com.

Huduma Ambazo Unaweza Kuhitaji Kutoka Kwangu

  1. Pengine unaweza kuhitaji kuandika maelezo ya chini kuhusu filamu fulani kwa lugha nyingine tofauti.
  2. Pengine unaweza kuhitaji kutafsiri mtaala wako kwenda lugha nyingine tofauti.
  3. Pengine unaweza kuwa na barua ama hati unayoweza kutaka itafsiriwe.
  4. Pengine unaweza kuwa na sauti iliyonakiliwa ambayo unaweza kutaka kuandika chini kama tamthilia.
  5. Pia unaweza kuwa na kazi ingine yoyote ya kutafsiriwa.
Yote juu ya yote kazi yangu ni kutafsiri.
Tafadhali nipigie ili tuweze kujadiliana kuhusu pendekezo lako kwa nambari hizi +254713082353 / +254763182353 au unitumie barua pepe kwenye anwani fredrickcollections.company@gmail.com. Ninakuahidi utafsirishaji sahihi na kwa lugha sanifu.

Wako,
Fredrick Okoth.


Comments

Popular posts from this blog

why should I translate for you?

por qué debería traducir para usted?